Cargando
Volver  BACK

Whatsapp Zanzibar Trips

The group has 20 views

Hii ni group mahsusi kwa ajili ya wapenzi wa utalii na wenye nia ya kusafiri katika maeneo mbalimbali ya utalii na mazingira ya uhifadhi wa asili ndani ya Tanzania. Ikiwa na lengo la kujifunza, kujifurahisha, kuongeza upendo baina ya wasafiri na kuwafanya kuwa familia 1, kuongeza uzoefu wa kazi za utalii na kujitengenezea group hili tunajadili juu ya - Kutoa maoni, mapendekezo, ombi na ushauri juu ya safari inayopendekezwa. - Kutoa maoni yako na kupendekeza maeneo mazuri ya kutembelea. - Ku Sheria za group hili ni pamoja na - Kuonyesha heshima kwa wanachama wote kwa kuzingatia lugha na mienendo inayofaa. - Kutoa mawazo na maoni yaliyo na ujenzi kwa ajili ya group na kuzuia mabishano yasiyo na maana. - Kutobadilisha mada za group isipokuwa kama kuna idhini kutoka kwa waandishi wa group. - Kuzingatia maadili ya utalii wa mazingira na kuheshimu malengo ya group. - Hairuhusiwi kutuma mambo yaliyokuwa ni nje ya lengo la group hii. Karibu katika kikundi chetu pendwa, tunatarajia kushirikiana na kuendeleza utalii wetu wa ndani na kukuza Familia yetu ya ni wa familia ndugu tusiofanana lakini tuna upendo Family-

We recommend that you do not share any private data within the group. 19907. Enjoy the group and share only legal material. Enjoy your group 19907.

whatsapp groups   Travel

Group for people from all over the world World

whatsapp groups   TZ Zanzibar

Share the group

      Whatsapp    Gmail   Reddit   Telegram   Linkedin  



Degruppen is a guide to group announcements of whatsapp and has no relationship with the company whatsapp Inc. App owner whatsapp. Degruppen is not responsible for the conversations, contacts and veracity of the groups advertised on our website, since the conversations take place outside the web.